Senin, 09 Februari 2009

sehemu nyingi katika


reni (kutoka Kiing. train) ni chombo cha usafiri kwenye reli. Treni inamaanisha jumla ya mabehewa inayovutwa au kusukumwa na injini kwenye njia ya reli. Kwa lugha nyingine treni huitwa pia gari la moshi.

Mabehewa haya yanaweza kubeba watu au mizigo hivyo kuna tofauti kati ya treni ya abiria na treni ya mizigo.

Mahali ambako treni inasimama na kupokea abiria au mizigo huitwa kituo cha reli.

Pia issue ya "...some (political leaders) will die..." nadhani si lazima iwe kwa dunia nzima itokee hivyo (as you worried/questioned), but kwa specific locality, kama Mungu anakimbiza kusudi lake mahali fulani, halafu anatokea 'mjinga' mmoja kusimama katika njia ya Mungu kuwazuia watu wa Mungu, mimi naamini hili lawaeza kutokea. Si lazima iwe kote, but it can happen. Ime-happen sehemu nyingi katika biblia na katika historia zetu hapa hapa. Nadhani this is no new to you bro. Ulihoji pia sentensi iliyokuwa inasema, Mungu atatupa madini na utajiri, na ukasema hauoni kama hiyo ni sawa, as utajiri kwa kanisa la sasa, utatuharibu. Pia ulitamani kusikia kwamza Mungu aongee kuhusu kuwa watakatifu na wenye upendo (kwani hivi ndivyo vinavyoweza kuwa nguzo imara kwa mtu, ili utajiri usimharibu. Yes, mimi nakubaliana nawe kabisa Dan. But that we never know kama tayari hivyo vilisemwa katika teachings, au hata kama havikusemwa, hiyo haimaanishi unabii huo hauwezi kuwa wa Mungu.

Tidak ada komentar:

Posting Komentar